Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

Changamoto kwa sisi wenye hizi nyota za kung'arisha wengine,
Ni kwa kwamba wao hupata, lakini sisi hasa Mimi naambulia zero tu,

Nikikumbuka niliowachakata mafanikio waliyoyapata,
Kiuchumi, kuolewa na wenye uwezo nk acha tu.

Je Kuna namna ya kufanya Ili nyota ininufaishe mwenyewe?
Ngojea Wataalam na Wabobezi ( Mangwena ) waje hapa na Watujibu. Nadhani GENTAMYCINE ndiyo Muathirika zaidi wa hili.
 
Huwa nahisi watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao aisee kwa sababu ya haya mambo.
Unakuta mambo yalikuwa kwenye mstari mara yanabadilika yanakwenda ulalo ulalo hadi unashangaa.
Au unakuta mtu alikuwa anashika top 5 darasa la kwanza hadi form 6, mara unamkuta mjini hana mia wala mwelekeo.
 
Akijua tu majina yako matatu, na atakubembeleza ili umwambia jina lako la asili. Hapo umekwisha! Pesa mpe tu jifanya umeiangusha chini, ikanyage na umpe.
 
Kuna wakati nilihisi ngota yangu imetembea..hapo ndipo nikipojua kulinda nyota yangu.

Kwa wasiojua nyota ni bahati. Sio kila mtu ana bahati. Na bahati wkt wote ni ile bahat yenye matokeo chanya.

Nikajifunza kulinda vyota hata ikiwa vipi flow ya mambo inakwenda kama kawaida na njia mija safi kabisa. Unaweza kuifanya hapohapo ulipo
Toa maelekezo kwa faida ya wengi
 
Back
Top Bottom