GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Ngojea Wataalam na Wabobezi ( Mangwena ) waje hapa na Watujibu. Nadhani GENTAMYCINE ndiyo Muathirika zaidi wa hili.Changamoto kwa sisi wenye hizi nyota za kung'arisha wengine,
Ni kwa kwamba wao hupata, lakini sisi hasa Mimi naambulia zero tu,
Nikikumbuka niliowachakata mafanikio waliyoyapata,
Kiuchumi, kuolewa na wenye uwezo nk acha tu.
Je Kuna namna ya kufanya Ili nyota ininufaishe mwenyewe?