Ukiona mpaka sasa unapewa hivi vitu ujue wewe ni masikini wakutupwa hapa Tanzania.

Jana Erick Shigongo akiwa jimboni aliwauliza wananchi wake:
"Nilihaidi nitaleta tshirt, nimeleta au sijaleta"?
Wananchi wakajibu "umeleta"

Nikasema akili za watz wanaoelewa mambo na kutokudanganyika ni chache sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…