Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana.

Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na wanasuka nywele style ya "twende kilioni" halafu wanapendeza kinyama.


Fukuza huyo anayetgemea kiwanda ili kukuvutia. Tafuta pambo asilia lililotoka kwa mama na limechukua tabia na sura ya mama.
 
Sio wote.
Nilikuwa na kisu kikali sana na alivaa wigi nyakati flani.
Nakiri huyo ndiye mwanamke mrembo zaidi katika maisha yangu ya nyuma.
Usitupige kamba utafikiri hatuna macho.

Pili, huyo pichani ni wa kawaida sana
 
Sio wote.
Nilikuwa na kisu kikali sana na alivaa wigi nyakati flani.
Nakiri huyo ndiye mwanamke mrembo zaidi katika maisha yangu ya nyuma.
Usitupige kamba utafikiri hatuna macho.

Pili, huyo pichani ni wa kawaida sana
Nn maoni yako juu ya ushindi wa yanga
 
Sio wote.
Nilikuwa na kisu kikali sana na alivaa wigi nyakati flani.
Nakiri huyo ndiye mwanamke mrembo zaidi katika maisha yangu ya nyuma.
Usitupige kamba utafikiri hatuna macho.

Pili, huyo pichani ni wa kawaida sana
πŸ˜„πŸ˜„Ni mrembo sema tu filter imezidi ukali
 
Sexless inamaana hujifahamu kama wewe ni ke au me upo upo tu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Urembo wao ndo nguvu yao mzee.
 
Wigi la 800k! Peruvian hiyo dadadek.!!Kodi Yako ya mwaka mtoa Uzi😁😁😁
 
Wanawake wote wazuri ndugu,ni mtazamo wako juu ya uzuri na ubaya na matunzo kwa mwanamke.
 

Sema huna hela tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…