Nakuelewa sana mkuu, ndio maana nimekujibu wewe zaidi nasio mtoa mada rejea comment yako ya juu.Dhaumuni la mtoa hoja sio kazodoa watu wanaopanga ila kaonesha jinsi gani tunavyotakiwa kufanya tukiwa nyumbani Ili kuepuka manunuzi ya vitu rahisi ambavyo Tunaweza kufanya home.
Wewe ndege hapa nyumbani nimepanda mapapai mpaka nimechoka. Hayaoti na hayataki kuota kwa sababu ya ardhi yenye mwamba. Nikaamua kuchimba shimo nika import udongo bado yakagoma. Mapapai na parachichi vyote vimegoma.Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Kaka hajalewa na alishasema ameacha pombeπUsiwe unaanzisha Uzi ukiwa umelewa mkuu
Anakunywa pombe huyo...Kaka hajalewa na alishasema ameacha pombeπ
Hahaha pombe haina shida tatizo ni kichwa chake baada ya yeye kunywa pombeAnakunywa pombe huyo...
Inatokea mtu amejenga mbali na shughuli zake za kujitafutia kipato Kwa hiyo anaamua kupangisha na yeye kukaa mjini karibu na kazini kwakeNi kweli ni raha sana , utatuaje mtu kapanga ila anazo nyumba kadhaa , na zina kila kitu , ila yupo kapanga sehemu fulani kwa sababu zake maalumu na papai ananunua tu?
Kabisa ,watu wanapenda kukadiria jambo juu juuu tu.Inatokea mtu amejenga mbali na shughuli zake za kujitafutia kipato Kwa hiyo anaamua kupangisha na yeye kukaa mjini karibu na kazini kwake
Kizazi cha singeliJamiiForums siku hizi mtu anapost kila kinachokuja kichwani
Umewaza Nini ndege?? Sikuizi umepoa Sana tuna miss ZILE nyuzi zako za kula BATA BEER πΊ π»Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Inategemea na eneo ulilonalo!Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Safi kabisa!Vitu kama papai,embe,parachichi,passion in short matunda yote yenye mbegu haihitajiki kupanda wala kununua miche yake,yale yale unayonunua mbegu zake tenga sehemu kwenye ardhi yako zirushe.
Juzi jumapili nilikuwa nakagua home nina mapapai itabidi nipunguze miche,nina maembe miche sita (hii nitahamishia baadhi sehemu nyengine) nina miparachichi mitatu na passion nimeona moja,ipo miche sijajua kama ni ya limao au chungwa.
Nina nyumba mkuu uhakikaUkiona mtu anakaa anawaza kuandika uzi kama huu ujue hana nyumba!
Je wenye shamba la mapapai na hawana nyumba inakuaje hapo?
Nimesikitika sana π
Kweli nakuambia ninayo miti miwili ila ina zaa kwa pamoja,Single faza, vile nimecheka π π π π π
πππJamiiForums siku hizi mtu anapost kila kinachokuja kichwani
Siku hizi ni mwendo wa vikali tu konyago na Hanson choiceUmewaza Nini ndege?? Sikuizi umepoa Sana tuna miss ZILE nyuzi zako za kula BATA BEER πΊ π»
Aisome min -meSiku hizi ni mwendo wa vikali tu konyago na Hanson choice