Aah John!!! Nini hii sasaKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
🤣🤣🤭Kwahiyo kama una mipapai na matunda yako bado hayajaiva, ukaamua kununua papai gengeni waja wanajiambia huna nyumba, umepanga. Daaah wabongo 😆 😆 😂
View attachment 3320485
Kuna ukweli fulaniKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Halafu anakwenda sokoni kununua chinese na spinach zilizopigwa dawa juzi yake.... Anakula na watoto...😅😂Ni mtazamo wako tuu. Mwingine atakwambia kwake huo ni umaskini unakuta ameweka paving block nyumba nzima na bustani kidogo ya kitajiri kwaajili ya kufyeka majani.
Tanzania haitatoboa with people like youKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Mimi vitu vichungu havipiti kooni kabisaa lazima nichanganye na TONIC WATERHahaha hizi noma mimi natumia bia laini tu ni kisonga mno napiga vodka
Muhimu kuzingatia lishe bora na mazoezi na maji yakutosha.Mimi vitu vichungu havipiti kooni kabisaa lazima nichanganye na TONIC WATER
Nyie mnanunua sumu asee unitafute nikufundishe njia za kupanda mchicha hata kama sehemu ni kame ila kwa maji kidogo tu unapata mboga mwaka mzimaSisi tunaonunua mpaka mchicha si ndo wa kusikitikiwa 😁.
Huyo hana akiliNi mtazamo wako tuu. Mwingine atakwambia kwake huo ni umaskini unakuta ameweka paving block nyumba nzima na bustani kidogo ya kitajiri kwaajili ya kufyeka majani.
Nipatie hiyo elimu mkuu, niachane na hii misumu.Nyie mnanunua sumu asee unitafute nikufundishe njia za kupanda mchicha hata kama sehemu ni kame ila kwa maji kidogo tu unapata mboga mwaka mzima
Kweli muhimu sanaaMuhimu kuzingatia lishe bora na mazoezi na maji yakutosha.
Mkuu nimegundua hivi vitu ni hobie ya mtu asee. Mimi kuna jirani yangu hadi huwa namuonea huruma.Mtu akinunua pembezoni na mji anaweza kupata viwanja vikubwa akafanya kama hayo,lakini viwanja vilivyo vingi unajenga nyumba inabaki sehemu kidogo mbele kiwanja kimeisha.
Hahahah mara nyingi unanihamasishaga kuzimua bro😆Kweli muhimu sanaa