Kuna kipindi nipo dom nilikua nafanya drip irrigation ila nilitumia mipira ya hospital kabisa kama ile ya kuwekea dripu mgonjwa unaweza jaribu hii inatunza maji mno anza na miche 50Nipatie hiyo elimu mkuu, niachane na hii misumu.
Drink π» beer save water π πHahahah mara nyingi unanihamasishaga kuzimua broπ
Dah pombe tamu sna mkuu , hasa ukizinywa hauna stressDrink π» beer save water π π
Asante sana mkuu.Kuna kipindi nipo dom nilikua nafanya drip irrigation ila nilitumia mipira ya hospital kabisa kama ile ya kuwekea dripu mgonjwa unaweza jaribu hii inatunza maji mno anza na miche 50
Umepata kamwaga ? Kama hauna eneo la kutosha weka udongo na mbolea hata kwenye mifuko ya sementiAsante sana mkuu.
Nikihitaji maelekezo zaidi nitakurudia.
Na wewe uwe na miaka isiyopungua 50π€£π€£π€£Nyumbani kwako kunatakiwa kuwa na miti ifuatayo..... Mchungwa, Mchenza, Mpapai, Mlimao, Stafeli, Mlonge, Embe, Parachichi, Mchaichai,.... Mboga za majani kadhaa.... Maua machache ππ
Umepata kamwaga ? Kama hauna eneo la kutosha weka udongo na mbolea hata kwenye mifuko ya sementi
Si mpaka uwe na hobby hiyo ya upandajiKama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai wewe umepanga.
Hii mimi niliipigia pesa Dodoma ila mwanzoni nilifanya tu kama chakulaMwanga nimeupata mkuu.
Sawa nitafanya hivyo.
Kuna kipindi nilikuwa nakata madumu yakiisha maji nasia mbegu, bahati mbaya kuku wakawa wanatifua tifua, haikufanya vizuri.
Nilikuwa nimefuga na vikuku viwili vitatu vikaniharibia.
Inuse tu jibu utapata hapohapoVitu kama papai,embe,parachichi,passion in short matunda yote yenye mbegu haihitajiki kupanda wala kununua miche yake,yale yale unayonunua mbegu zake tenga sehemu kwenye ardhi yako zirushe.
Juzi jumapili nilikuwa nakagua home nina mapapai itabidi nipunguze miche,nina maembe miche sita (hii nitahamishia baadhi sehemu nyengine) nina miparachichi mitatu na passion nimeona moja,ipo miche sijajua kama ni ya limao au chungwa.
Tunashukuru kwa uzi wako ndugu mwandishi,Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai wewe umepanga.
Tena kwa kiasi mziki mdogo mdogo umeshiba..no stress ni furaha.Dah pombe tamu sna mkuu , hasa ukizinywa hauna stress
Utaifikia tuu... Japo unaiona ipo mbaliNa wewe uwe na miaka isiyopungua 50π€£π€£π€£
Ndiyo umejenga hv karibuni? Dogo nyumba siyo show off, ni sehemu ya kujisitiri tu.Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai wewe umepanga.
Safi sana.Hii mimi niliipigia pesa Dodoma ila mwanzoni nilifanya tu kama chakula
Anza sasa na unipe mrejesho wa pichaSafi sana.