PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa

Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.

Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
 
Na wewe tafuta konekshen uache kulia lia mitandaoni
 
Vipi na wewe ulipata asali za Ford Foundation? Au wewe ni nyumbu promax unaperekeshwa na hao malaya akina Maria na Mange Kimambi ambao sasa wametulia wanasubiri mgao mwingine wawapelekeshe nyinyi nyumbu promax.
 
Mkiguswa mnakuja haraka kama vinyeo vyenu vya mabosi
 
Vipi na wewe ulipata asali za Ford Foundation? Au wewe ni nyumbu promax unaperekeshwa na hao malaya akina Maria na Mange Kimambi ambao sasa wametulia wanasubiri mgao mwingine wawapelekeshe nyinyi nyumbu promax.
Usijambe jambe hapa kafungue uzi wako ni bure.
 
We ngoja mijusi ikibanwa na mlango, itabaki imeachama midomo wazi kama imeambiwa tunakopesha masufuria ya ubwabwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…