Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #21
MALUMBA STOPPOINT bata linaliwa si la kitoto saivi kuna KILITIME PALE IMEBAMBA SI KITOTO NI BATA BATANIFika Kakola uone madogo wa migodini wanavyokula Bata.
Fika geita uone wajumbe wa kura za maoni wanavyotiririka majumbani kwa watia nia wachimbaji.


