Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

Nafikiri haujaweka swali lako uzuri mkuu...
Ama pengine nikijibu kwa ujumla niseme, kwenye migodi kuna tofauti ya kina hasa kutokana na miundombinu inayo jengwa kwa mujibu wa exploration report.
Explosion report ndio huamua kwamba mgodi uende chini kwa kina cha urefu wa mita ngapi
Katika dunia tuna matabaka matatu yaani. Crust mentol na core... Sasa nataka kujua je katika uchimbaji wote huu je ishawahi watu kufika tabaka la kati yaani mentol
 
Dahhhh....
Umenikumbusha amina kistuli mshangazi wa kwendraaaa alikua ana sehem zake za nyuma toka kwa mama Tuwa muuza msosi hadi Kibasini Bar....😋
R.i.P Mke wa Rasta...😥
Kuna manzi ilikuwa na cheo senior mgodini, ilinitesa kimapenzi, nili enjoy mapenzi miezi ya kwanza, baada ya hapo ikata anza nifanye kama Mario 😅😅... Hakuamini nilimtupa kama uchafu.. sipendi madharau .. sema ni muhuni sana nilikuja jua badae
 
Kuna manzi ilikuwa na cheo senior mgodini, ilinitesa kimapenzi, nili enjoy mapenzi miezi ya kwanza, baada ya hapo ikata anza nifanye kama Mario 😅😅... Hakuamini nilimtupa kama uchafu.. sipendi madharau .. sema ni muhuni sana nilikuja jua badae
Ukinitajia kitengo na mwaka nitakutajia jina lake..🤣
 
😂😂😂😂
Singida, Puma, Ikungu, London...... dahhh ulikula mema ya dunia aiseee
😅😅 Sambaru - London penyewe Kuna visu vya kienyeji vya hatari sana kule, kuliko hawa broiler.. dogo mwenyewe ana 37.. ana uzingu mwingi, alinishawishi sana Tulane uraia watanzania.. ila mwanzo wa penzi nilikubali ila badae nikashtuka alivyo anza movie zake
 
Nchi hii uhuru umezidi aisee ,
Hadi anaebonya bonya kibodi nae analalamika KAZI yake ngumu😂
Pia kuna sisi ma graphics design tunafanya kazi ngumu sana just imagine mi leo nimekaa masaa matatu na computer tu toka nilivokunywa chai nakuja kumbuka kula mchana sa tisa..

Enough na hapo baada ya kula sa tatu usiku kazi kazi tena hapo kulala.mpaka sa tano usiku... Na ulali vzri sa mbili asbhi unaamka kazi inaanza tena hapo kula utakula kwa kujinyima chapati na mayai na maziwa kiasi

Mchana ndo kabisa unagusa gusa kuna watu wanateseka nyie acheni tu
 
Back
Top Bottom