Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #21
MALUMBA STOPPOINT bata linaliwa si la kitoto saivi kuna KILITIME PALE IMEBAMBA SI KITOTO NI BATA BATANIFika Kakola uone madogo wa migodini wanavyokula Bata.
Fika geita uone wajumbe wa kura za maoni wanavyotiririka majumbani kwa watia nia wachimbaji.
Kivipi yanii?.Unamsaidiaje?
kutumia helaKivipi yanii?.
Jinsi ya kutumia hela au kuingia kwny mashimo?
Akale tuu na mkewe....π€£π€£π€£π€£wengine hizo hela hatulagikutumia hela
Kwasasa ugumu wa kazi umepungua kutokana na teknolojia, nikama 1400 scoop/bogger nyingi zimekua remoteMkuu maisha ni haya haya kazi zile ngumu mnooo
Nikweli...Unajua mkuu huku vyeti havina nguvu kivile? Ni vile huangalia kazi zaidi.
Then half London inakeshaπ€£MALUMBA STOPPOINT bata linaliwa si la kitoto saivi kuna KILITIME PALE IMEBAMBA SI KITOTO NI BATA BATANI
njoo ule za kwanguAkale tuu na mkewe....π€£π€£π€£π€£wengine hizo hela hatulagi
Mkuu nielekeze jinsi ya kuweka kadude kama hako kanacheza chezanjoo ule za kwangu
Unataka umtumie naniMkuu nielekeze jinsi ya kuweka kadude kama hako kanacheza cheza
Na kama hiko tena mkuu..Unataka umtumie nani
Mkuu nielekeze jinsi ya kuweka kadude kama hako kanacheza cheza
Uyu dada ananisumbua sanaNa kama hiko tena mkuu..
We unavipataje..
Na mimi nataka commenat niwe nakaweka na hako
Daaah mkuu naomba nielekeze plz...Uyu dada ananisumbua sana