Nawaona wachimbaji mnavyo jimwambafai tu hapa....πUnazingua mkuu Ushimen πππππ
Ahahaha jamaa anasema kazi ngumu...Nawaona wachimbaji mnavyo jimwambafai tu hapa....π
Kama mleta mada kawasha biti kwa kutia Jumbo double boom, akaachia na bogger, akasuuzia na box cut tena nahisi ile ni picha iliyo pigwa open pit poto...π€£
Kupata hii huduma unatakiwa kulipia kwa mweziDaaah mkuu naomba nielekeze plz...
Hii nimeipenda ya mdada daaah
Skia na mimi takuunga kwa group langu la YAKUZ YAVUZ ambalo tunaelekeza njia ya kupata pesa bila kuvuja jashoKupata hii huduma unatakiwa kulipia kwa mwezi
Huyu ni offsider...π€£π€£Ahahaha jamaa anasema kazi ngumu...
Hakuna kazi ngumu...
Kama tu ukiona upatikanaji wa hiyo kazi husika ni mgumu an connection ya hiyo kazi ni ngumu jua hapo hamna ugumu mkuu....
Mpe ile namba yangu na jina kitatoka Underground Miner...πKupata hii huduma unatakiwa kulipia kwa mwezi
Endelea kutupa madini kuhusi migoni maana napendaga sana hizi story mkuu...Huyu ni offsider...π€£π€£
Itakua alianguka wakati anashikilia wire mesh wakiwa wana support mwamba kwenye face...ππ
Hao ambao hawataki kupata hela kwa jasho, watakuwa shitholeSkia na mimi takuunga kwa group langu la YAKUZ YAVUZ ambalo tunaelekeza njia ya kupata pesa bila kuvuja jasho
Na meno hayo πππMpe ile namba yangu na jina kitatoka Underground Miner...π
Hapana mkuu pesa kwa sasa tunatega tuu...Hao ambao hawataki kupata hela kwa jasho, watakuwa shithole
Duarani ni mashimo ya wachimbaji wadogo ambao wanatoa kifusi madini chini ya 5tons per day before processing.Endelea kutupa madini kuhusi migoni maana napendaga sana hizi story mkuu...
Wanaposema duara huwa wanamaana gani
Tatizo jfpesa mtandao unasumbua tangu juziMpe ile namba yangu na jina kitatoka Underground Miner...π
Hapana mkuu pesa kwa sasa tunatega tuu...
Mkuu nielekeze hii kitu basi saah
Shift boss, ganger, superintendent, supervisor ni baadhi ya maneno maarufu Buly enzi hizoπ€£π€£Unajua mkuu huku vyeti havina nguvu kivile? Ni vile huangalia kazi zaidi.
We jamaa una utoto mwingi πππππ
Kwa kujidanganya na hoja ya mleta mada kwa hao jamaa ngoma ni nje nje.Everything has a price to pay .
Kumpatia MTU ushauri ni muhimu kwakuwa unapofanya Kazi you have to think about ur life .
Hauwezi kuwa unafanya Kazi ngumu kama hiyo na unaishia kuwa Skirt Chaser , and etc .
Hao wa kwenda chini zaidi mfano kama ule mgodi uliopo south. Je kule chini wanaifikia mpaka mental au wanaishia kwenye crustDuarani ni mashimo ya wachimbaji wadogo ambao wanatoa kifusi madini chini ya 5tons per day before processing.
Hawa wengi wao bado wanakua wanachimba kienyeji kwa kutumia ponchi na milipuko
Nafikiri haujaweka swali lako uzuri mkuu...Hao wa kwenda chini zaidi mfano kama ule mgodi uliopo south. Je kule chini wanaifikia mpaka mental au wanaishia kwenye crust
Mining ilianzia Gang leader, Shift boss, Superintendent, Development and Production managers na Mining manager ambae alireport kwa General managerShift boss, ganger, superintendent, supervisor ni baadhi ya maneno maarufu Buly enzi hizoπ€£π€£