Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

uyo dawa unamtia mimba unamuacha, aongeze count ya singo mazas

then unaweka ndani uyo maid
 
Miriam Lukindo Mauki anaandika;

Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili;

1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko.

Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye makelele mengi ya kila wakati, kufoka foka bila kuyapima maneno yanayomtoka kinywani mwake, kwa ujumla huita "Nagging".

2. Ni mwanamke mwenye dharau.

Mwanamke asiye jishusha, ni mwanamke mwenye kiburi, asiye jali, kwa ujumla ni "Lack of submission".

Kwaleo kaa na hayo, kisha jipange na mtoko wa Dubai unaoletwa kwako na @optimum_traveltz optimum_traveltz.
Hakuna kitu kama hicho mm napinga. kuchepuka au umalaya nitabia ya mtu wako vijana wanajielewa na wake zao wanamakelele lakin hachepuk namfanyakaz .the things is tabia ya mtu
 
Hata kama mwanamke anajitambua, mwanaume kama tangu hajaoa amezoea kubadilisha wanawake, atawapiga tu! Ni hulka ya mwanaume. Ila kweli kuna wanawake wanaobomoa ndoa yao wenyewe. Hawana uwezo wa kumsoma bwana.
 
Hayo yanaweza kuchangia lakini ikumbukwe wako wanaume walala na kiumbe chochote chenye sehemu inayoruhusu chululu yao kuingia

Awe mwanaume mwenzao, kuku, mbuzi, nyoka wanaingiza tuu

Mungu atusaidie
Tafadhali tuombe radhi wanaume. Wengine hatujawahi kuingiza tobo lolote zaidi ya hapo mbele.
 
Ujinga Mtupu, huyu ndo Mke wa Sijui Kris Mauki??


SISI WANAUME TUKIWA NA NYEGE,
UKUTE HUJITAMBUI KABISA UTAPIGA HATA KICHAAA .


Wanawake aminin nawaambia, Mpaka mwanaume anaamua kukuoa wewe, nikwamba Chemistry yenu kaona ndio inayomfaa .

Na anavyoamua kuchepuka, ni nyege, tamaa, na Ile hali ya Kujisikia wee kidume Kwa kadiri unavyokula mbususu sana n.k.


Msianze kujitafutia Madhaifu Kwa maneno ya waganga Njaaa wanaojiita wataalam wa Mahusiano !!.

Nyinyi ni wakamilifu, tumekutana wakat wa uchumba, tumeishi nayo wakati wa unyumba, Kwa hivo tunawajua kabisa kua Nyinyi tulowaoa ndio Kiboko yetu .


Huku kwingine tunapigana tu ,utafanyaje Sasa, anapita mtoto ana Bonge la takooo, mtoto mweusi ivi chocolate, ana dimpoz, Jicho la orgasm , utafanyaje????
Fact ambayo hawapendi kusikia wake zetu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mkuu hoja yako haiko sahihi kwa upande mwingine.
Kuna mambo mwanaume anayataka kutoka kwa mkewe.
Hilo liko wazi.
Hawa mabinti mnawalea hovyo siku hizi wanadhani jukumu la kuwa mke ni for sex tu.!!
Hakuna kingine chochote anafanya kama mke na mama wa familia.
Vyote kaachiwa house girl.
Hawa wake zetu tunaoa siku hizi wanashindwa hata kumuelekeza house girl kuwa baba hayupo chakula chake weka hot pot la pembeni!!
Unarudi unakuta umebakishiwa chakula kimechezewa na watoto mpaka hakiliki Tena.!!
Na huyo anajiita ni mke.
Ngono unapata kwa mwanamke yeyote.
Lakini sio kila mwanamke anafaa kuwa mke.
😄😄😄😄😄😄😁😁😁😁😁🙌
 
Dada anamaliza maneno huyuu,huyo mumewe Sasa story zake tunazo![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom