Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

Dada anamaliza maneno huyuu,huyo mumewe Sasa story zake tunazo![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

reymage sasa unataka huyu na yeye akupe Yale majibu ya mkandamizaji😅😅😅😅
 
Basi mjitahidi msijulikane. Kujua mwanaume yuko busy nje inaumiza sana. Muwe makini
 
Utopolo uyo unaweza ukawa mnyenyekevu na bado akachepuka hao umbwa hawakosag sababu atutolee fujo aimbe kwaya ya ndoa atuache yy alee ya kwake
 
NIMEKUPATA.

Na sisi wanawake sio unaolewa unajichanua CHANUUUUUU....unajisahau ukisikia Paaaaaa unakurupuka unakimbia kama mbweha. Nyuma umeacha hata viatu

Wanawake tukae kwa kutulia na akili ya hali ya juu na wanaume wanaoshindwa kudhibiti tamaa zao.
 
Daktari unajua sanaa [emoji91][emoji123]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mecheka Sanaa...this is too much aisee
Ndio uhalisia wa maisha tunayoishi siku hizi.
Yaani unatafuta hela kwa juhudi zote aaafu unaishia kufanyiwa hayo.
Wamama hawafundishi mabinti zao Nini Cha kufanya.
Wako busy kusubiri zawadi za send off.
Pumbafu!!
Aaafu binti mwenyewe ndio huyo anashindwa hata kutambua kuwa mumewe asipokuwepo muda wa kula basi anafaa atengewe chakula chake pembeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…