Uislam kupeana au vipi😂Yani uyo mwanamke kakaa kijanja anajua kwa madhaifu aliyonayo ukimfunua tu mara moja utotaka kurudia tena ndo maana anakunyima iyo ni defensive mechanism yake
Mwanamke anayejiamini na uanamke wake hamnyimi boyfriend wake eti mpaka waoane.
Nyenyenye.Mwanamke anayejiamini na uanamke wake hamnyimi boyfriend wake eti mpaka waoane.
Ni dili ndomaana umeiwaza hadi umeianzishia threadBaki nayo kama unaona dili
Exactly kanunue, ziko hadi za buku mbiliNikiitaka naenda kuinunua tu kwani sh ngapi
Sema humu kwenye software mnakua mashujaaa sana njoo mtaani sasa...Nyenyenye.
HAMPATI.
Hata msemeje HATUWAPI.
Unayo na kuvutia kwanza, au kelele tuuNyenyenye.
HAMPATI.
Hata msemeje HATUWAPI.
Uzuri ni kuwa usiponipa mimi utampa juma, usipompa juma utampa Alex, usipompa Alex utampa Eric, kwa hiyo wembe ni ule ule Registered_jfNyenyenye.
HAMPATI.
Hata msemeje HATUWAPI.
Kamuulize mama yako na baba yko wakuelezee nyeti zao zilivyo kisha uje unipe muongozoUnayo na kuvutia kwanza, au kelele tuu
Isije ikawa imepauka kwa kutumika afu unamnyima innocent boy wa watu ili ukamuuzie mbuzi kwenye gunia Huko kwenye ndoa
Kama ulimpata mara moja usifikiri utampata siku zote!Sema humu kwenye software mnakua mashujaaa sana njoo mtaani sasa...
Yes anapewa my Lovely Hubby, One of the Kings who will reign with Jesus! ! !Uzuri ni kuwa usiponipa mimi utampa juma, usipompa juma utampa Alex, usipompa Alex utampa Eric, kwa hiyo wembe ni ule ule Registered_jf
Hii hasira n baada ya wana wa Israel kukunyoosha sana 😂 endelea kugawa utamu kwa vijana na vikongwe mana ww n mama hurumaKamuulize mama yako na baba yko wakuelezee nyeti zao zilivyo kisha uje unipe muongozo