Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Wakati mwingine mwanaume akiumizwa sana na mademu anakua mkorofi dont care hiyo hali dems wengine ndio wanafal vibaya sana
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Mtaongea sana lakini wanawake wa siku hizi hawa kamatiki tena. Kumesha kucha kwao.

Haki sawa na system mpya za sheria zinawalinda.
Siku hizi kazi ni kama kawa
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…