Wanawake pisikali wanatumika sana, kumbuka hilo, mwanamke akiwa pisi ataanza kuliwa toka shule ya msingi mpaka chuo, kwahiyo hawaoleki hao ni for show, uonekane kwa wana kuwa unakifa kikali lakini kuwekwa ndani big no, Kama ulivyosema wengi wao japo sio wote kichwani hawako smart hawana akili ya maisha, kwa sababu wanajua uzuri wao ndio mtaji wao