Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Nimenotice hii kitu aisee
Ndoa zinamambo mengi plus kuishi na mtu ambae si mwanao si dada ako na mkatulia mkaelewana si kazi ndogo.
Wanawake wana mambo milion na matatizo yao ni mengi.
Vitu vidogo sana wao wanavikuza, plus hawasahau hata nukta unaweza jua mko sawa kumbe mwenzio ana notebook anajiandikia na kuhesabi TUVITU VITU.
Sasa kwenda nae sawa we piga shoo karibia kila siku kwa wiki acha siku mbili au tatu.
Ukipitisha mwezi mziki humo ndani utaucheza kama samaki mbichi umuweke kwene mafuta.
AS LONG SHOW IPO NA UHAKIKA BASI NDOA ITAKUA SHWARIII… Tule tuvitu vitu wanatoandika wanakua wanatusahau kama si kupoteza notebook