Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Waswahili bhana
Mmmh pole sana , mwanamke hata yeye hajuagi anatak Nini, we kalia kumpa shoo bila hela ni kuchoshana tuNimenotice hii kitu aisee
Ndoa zinamambo mengi plus kuishi na mtu ambae si mwanao si dada ako na mkatulia mkaelewana si kazi ndogo.
Wanawake wana mambo milion na matatizo yao ni mengi.
Vitu vidogo sana wao wanavikuza, plus hawasahau hata nukta unaweza jua mko sawa kumbe mwenzio ana notebook anajiandikia na kuhesabi TUVITU VITU.
Sasa kwenda nae sawa we piga shoo karibia kila siku kwa wiki acha siku mbili au tatu.
Ukipitisha mwezi mziki humo ndani utaucheza kama samaki mbichi umuweke kwene mafuta.
AS LONG SHOW IPO NA UHAKIKA BASI NDOA ITAKUA SHWARIII… Tule tuvitu vitu wanatoandika wanakua wanatusahau kama si kupoteza notebook
Kweli kabisa.Nimenotice hii kitu aisee

Kuna hawa tunaowapiga shoo kama mwizi na kukunja kama kambale mbichi wanakera kwa kweli.....utashangaa unampiga shoo la kibabe, anarudi kwa mumewe akiwa mtulivu kabisa. Usiku wa manane anajifanya anakwenda kujisaidia choo cha nje anakupigia simu kukuuliza eti umelala na nani na anakugombeza eti usirogwe nikukute na mtu mwingine. Yaani ni shida kwa kweli.Nimenotice hii kitu aisee