Ukiona ndoa inadumu miaka mingi ujue jamaa anapiga show za kibabe

Mmmh pole sana , mwanamke hata yeye hajuagi anatak Nini, we kalia kumpa shoo bila hela ni kuchoshana tu
 
It's more than that mdau.
Endelea kukuwa tutayaona!
 
Kweli kabisa.

Nakazia×100
 
chonde chonde husiyakaribishe, mahusiano ya kimapenzi moyoni, mwako kwa mikono miwili. upe pia moyo wako nafasi, ya kuona kama kitu ambacho unaweza kukipata au kukipoteza muda wowote.

watu wenye furaha zao kabla wamekufa na maumivu yao. mrefu, mfupi, fukara, tajiri, mbaya, mzuri, mwenye wadhifa, kajambanani, maarufu, mbangaizaji , hao wote kipigo cha mapenzi hukumbana nacho. uzuri wa mapenzi huleta furaha ukiwa unatimiza malengo ya hisia zako,.kinacholeta ukakasi kutimiziwa zako, na.ukajua kweli zimetimizwa. Naam, penda kwa kiasi.
 
Kuna hawa tunaowapiga shoo kama mwizi na kukunja kama kambale mbichi wanakera kwa kweli.....utashangaa unampiga shoo la kibabe, anarudi kwa mumewe akiwa mtulivu kabisa. Usiku wa manane anajifanya anakwenda kujisaidia choo cha nje anakupigia simu kukuuliza eti umelala na nani na anakugombeza eti usirogwe nikukute na mtu mwingine. Yaani ni shida kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…