Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

Kuna mtu ambaye hadharauliki? Hata kama hujui lakini kuna watu tu wanakudharau na hayo ndiyo maisha yalivyo. Kinachokupasa ni kupuuza mawazo yao juu yako,vinginevyo utakuwa na wakati mgumu maana huwezi kuwaelewa watu hata siku moja.
 
Am done with you man. Fanya mengine
It is obvious, you must be done with me kwa sababu huna hoja yeyote, kwa sababu inaonekana hujui chochote, ndio maana huwezi kujibu chochote.

Unataka nifanye mambo mengine mimi au wewe?

Nifanye mambo mengine mambo gani? Yaani nilog off JF au?

Unaongea vitu havieleweki.
 
Sawa. Yaishe basi
 
Siyo kweli. Kuna watu huwa nasikia "jamaa mtu sana, ila mkewe ni bomu." Au pia "huyu jamaa hafai, mtaani wote hawampendi. Ila mke wake ni mtu wa watu, na watu wanakwenda nyumbani kwake kwa heshima ya mkewe."
Ukiona hivyo ujue jamaa anamheshimu na kumpenda mkewe licha ya udhaifu wa mkewe.

Au ukiona Mume bomu, ujue mke anamheshimu na kumpenda mumewe hivyohivyo licha ya udhaifu wa mumewe.
 
Kwani ni ugomvi?

Kama ulitaka yaishe usingechangia hoja.

Au ungeuliza tu vizuri ueleweshwe na siyo kumuambia mleta mada hajui, halafu wewe huwezi kusema unachojua.

Next time pita kimyakimya, au vipi man? Maana unaogopa midahalo kama CCM.
Sawa
 
Just an answer mdogo angu, huna haja ya kupiga siasa!!. Umekaa kwenye ndoa kwa miaka mingapi??
Usije ukawa unafundisha watu ndoa kumbe hujaoa au umeacha/achwa(ndoa imekushinda) au ndio kwanzaaaa una miaka miwili.

How long bwana mdogo?? Maana si kila mtu ana qualify kufundisha haya mambo
Wengi wanaojifanyaga washauri wa ndoa huwa ni divorced people...

Ukikuta sio divorce basi ujue ana migogoro mingi katika ndoa yake.

Huu ni ugunduzi wangu ila sijui mtoa mada kama hana mgogoro na mkewe au lah...

Najua ana mke.
 
KUna mambo mengi mnoo linapokuja suala hili, na msisitizo wangu uko pale pale, si kila mtu ana qualify kushauri au kufundisha ndoa. Kuna mtu katolea mfano wa Padre humu, wale wanafunfisha ndoa, hawafundishi ndoa, wanaeleza pia walichofundishwa kuhusu ndoa ila hawajui chochote kiuhalisia kuhusi ndoa. Likewise kwa ndugu yangu hapa, anaweza akatoa maelezo mazuiiri kuhusu ndoa yake na za watu anaowafahamu ila bado haina maana ana qualify kusikilizwa na kila mtu
 
Kwa sababu halina mantiki
Ahahahah..lina mantikibkubwa sana kwa mujibu wa bandiko lako.
Na wala sio ishu personal kama ulivyoi term.
Mfano mimi at 35 now, niko kwenye marriage for 15 years. Nimeoa at 20 yrs old.
Sasa kwa namna yoyote ile kuna vitu haviwez kuwa ndan ya uwezo wangu kumfundisha mtu. Wala kuna mambo ambayo siwez jipa moral authority kumfundisha mtu kwa experience yangu ya just 15 yrs kwenye ndoa, japo kwa mtu mwingine aliye chini ya hapo, ninayo ya kumshauri.

Mfano kwenye mengi uliyoomgea hapo, mengine ni sio practical, mengine yako subject to mazingira (culture and traditions) ya society husika..
Na mengine hapo wala hata mtu hahitaji kufunzwa, tayari yanaweza kuwa within commom sense of person.
 
Unaweza ukawa na miaka 35 na ukawa unajua Mengi kuliko mwenye miaka 50.
 
Back
Top Bottom