Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Safari nzima ya mheshimiwa ya huko nje ya nchi tangu iko kwenye mipango ya awali kabisa ilivuja.Kuna nini tena kimevuja?
Kawaida mkuu,kama boss mwenyewe yupo humu watakosaje wasaidizi wake wa karibu....Safari nzima ya mheshimiwa ya huko nje ya nchi tangu iko kwenye mipango ya awali kabisa ilivuja.
Jambo la hatari sana, yaani mpaka usafiri watakaotumia, mpaka orodha ya akina nani watakwenda.
Samia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.Safari akiwemo Babu Tale hakunaga Siri hapo 🐼
Yani Tale kuna muda akikaa hata yeye mwenyewe haamini kama ni mbunge walai bilai watalaiSafari akiwemo Babu Tale hakunaga Siri hapo 🐼
HajipangiiSamia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.
Vipi 2025 anatoboa, ama YEYE wa kaka Pascal Mayalla keshamchoka mapema yete hii...Samia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.
Tanzania hatajawai pata rais mpenda haki kama samia na rais mskivu kama samia ,Samia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.
Alivyoelezea tukio la Diamond na Pdidy hatari sana 🐼Yani Tale kuna muda akikaa hata yeye mwenyewe haamini kama ni mbunge walai bilai watalai
Hakuna kitu kama hichoNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Jamanj si tuanze kuimba parapanda?Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Kwani huyo mama yuko wapi kwa sasa?Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Unaona mchwa waharibifu wanabunguakl kijiji roho inakuuma taratibu hazikuruhusu kuchukua hatua unaamua kutafuta spika (wanaharakati) kuvujisha taarifa nyeti sauti ipazwe.. ili wanakijiji wajue hatari iliyopo ndipo tulipo fikia hamna usiri.Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.