Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
"Kifo ni kifo tu"Ni dhambi kubwa kuzushia kifo watu
Lakini pia kifo kikija, hakina namna nyingine zaidi ya kujulikana kwa kila mtu, maana hakifichiki, kikikuondoa, macho ya kila mtu yatashuhudia kuwa wewe haupo tena katika hali ya uzima, na kwamba wewe ni mfu, na watu wasipoweka wazi hilo, bado mfu ataoza tu!
SSH 2024.