Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
SawasawaMzee Ali Kibao hakuwa binadamu kama yeye?
Tuimbe mapambio bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaMzee Ali Kibao hakuwa binadamu kama yeye?
Tuimbe mapambio bana
Sawa mkuuWale tuliombiwa kutekwa na kuuawa kwao ni "Drama" naamini hawakuwa Binadamu wale.
HuelewekiHao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Hongera kwa uchambuzi uliojaa hisia.Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Aisee,hili balaaNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Safari yoyote ya kiongozi mkuu ina elements za SIRI kwasababu za kiusalama.Hongera kwa uchambuzi uliojaa hisia.
Kwani safari za kiongozi wa nchi ni Siri ??
Na kwanini ziwe za Siri ikiwa ni mwakilishi wa wananchi ?
Je wanaowakilishwa hawapaswi kujulishwa safari za mwakilishi wao na malengo ya safari
Nafikiri safari za viongozi wa nchi huandaliwa muda mrefu wengine inakuwepo ratiba za mwaka mzima ratiba zinapangwa na bajeti yake
Sidhani Kama kiongozi anakurupushwa tu
Safari inaweza kuwa ya wazi, lakini mipango ya safari inapaswa kuwa siri, always.Katika dunia hii ambayo ndege aliyotumia rais inajulikana ni 5H-TCR na unaweza kuifuatilia online kuona iko wapi, serikali inawezaje kuficha nyendo za rais?
Na kwa nini serikali katika nchi ya kidemokrasia isiwe wazi kuhusu nywndo za rais?
Kuteka na kuwaua wanaomkosoa, ndiyo kupenda haki?Tanzania hatajawai pata rais mpenda haki kama samia na rais mskivu kama samia ,
Hakuna mzee we unajua wazi kina Bashite wamebebe dhambi na damu za watu afu unawarudisha hata bila kuwapa masharti ya kuomba msamaha kiufupi ni kudharau wananchi na YEYE mchagua YEYE.Wachambuzi fake mnataka nchi akibiziwe malaika Gabriel AMA ?
Kila sehem mataira na waroho wa madaraka wapo,.
Kuna watu ukiwabana watakutengenezea zengwe ..
Mbaya zaid wananchi ndio hutumika kufikisha ujumbe hata ule wa uwongo
Either kwa kujua au kutokujua
Mipango gani ya safari? Kwa nini iwe siri?Safari inaweza kuwa ya wazi, lakini mipango ya safari inapaswa kuwa siri, always.
Mamlaka amepewa LUCAS MWASHAMBWA.Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Mimi ni Mzalendo haswaa,ila kuwa hao unaowataja ni Wazalendo na wanaumizwa kuona mchwa wanaliharibu Taifa nao ni wanafiki Wakubwa sana.Kaona mchwa waharibifu wanabungua kijiji roho ime muuma taratibu hazimruhusu kuchukua hatua kaamua kutafuta spika (wanaharakati) kuvujisha taarifa nyeti sauti ipazwe.. ili wanakijiji wajue hatari iliyopo ndipo tulipo fikia hamna usiri.
OkMwasala ya uzalendo tuwaachie wenyewe
Kwa diaspora mimi, safari ya Tanzania ni kuja kutambika tu kwenye makaburi ya wazazi.
Vinginevyo siwezi ushi Tanzania miaka 800.
Na wewe umeanza tena.Nyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Unazungumzia Kenya or Tanzania?Mimi ni Mzalendo haswaa,ila kuwa hao unaowataja ni Wazalendo na wanaumizwa kuona mchwa wanaliharibu Taifa nao ni wanafiki Wakubwa sana.
Ni hao hao wakitumwa na huyo huyo kwenda kuumiza Wazalendo wanaolitetea taifa wanakuwa kimbelembele kwenda kutekeleza amri hizo haramu. Unashangaa wanakuwa na speed kali kwenda kuwaumiza Wapinzani ambao hawana athari mbaya kwa Usalama wa Taifa letu, bali wanatetea maslahi mapana ya taifa au wanatafua nao mkate wa kila siku kwa style hiyo. Hao Wazalendo waache unafiki.
Afrika mnapenda kufanya mambo gizani na hamna Intergrity ya Transparency. Sasa kama safari ni ya amani ya nini kufichwa fichwa si uswahili huo?Safari nzima ya mheshimiwa ya huko nje ya nchi tangu iko kwenye mipango ya awali kabisa ilivuja.
Jambo la hatari sana, yaani mpaka usafiri watakaotumia, mpaka orodha ya akina nani watakwenda.
Element za usiri Zinategemea usalama wa nchi yake na kule anakokwenda na maslahi ya safariSafari yoyote ya kiongozi mkuu ina elements za SIRI kwasababu za kiusalama.
We jamaa huaminiki tena hapo mwanzo umekuwa mwongo mwongo sanaNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Hebu toka hapaTanzania hatajawai pata rais mpenda haki kama samia na rais mskivu kama samia ,
Hamna akili,nyie mnatamani kila kiongozi afe mbakie nyie tu, ivi wazimq kweli nyie?!Nyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca