Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Hueleweki
 
Hongera kwa uchambuzi uliojaa hisia.
Kwani safari za kiongozi wa nchi ni Siri ??
Na kwanini ziwe za Siri ikiwa ni mwakilishi wa wananchi ?
Je wanaowakilishwa hawapaswi kujulishwa safari za mwakilishi wao na malengo ya safari

Nafikiri safari za viongozi wa nchi huandaliwa muda mrefu wengine inakuwepo ratiba za mwaka mzima ratiba zinapangwa na bajeti yake

Sidhani Kama kiongozi anakurupushwa tu
 
Safari yoyote ya kiongozi mkuu ina elements za SIRI kwasababu za kiusalama.
 
Katika dunia hii ambayo ndege aliyotumia rais inajulikana ni 5H-TCR na unaweza kuifuatilia online kuona iko wapi, serikali inawezaje kuficha nyendo za rais?

Na kwa nini serikali katika nchi ya kidemokrasia isiwe wazi kuhusu nywndo za rais?
Safari inaweza kuwa ya wazi, lakini mipango ya safari inapaswa kuwa siri, always.
 
Wachambuzi fake mnataka nchi akibiziwe malaika Gabriel AMA ?
Kila sehem mataira na waroho wa madaraka wapo,.
Kuna watu ukiwabana watakutengenezea zengwe ..
Mbaya zaid wananchi ndio hutumika kufikisha ujumbe hata ule wa uwongo
Either kwa kujua au kutokujua
Hakuna mzee we unajua wazi kina Bashite wamebebe dhambi na damu za watu afu unawarudisha hata bila kuwapa masharti ya kuomba msamaha kiufupi ni kudharau wananchi na YEYE mchagua YEYE.
 
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Mamlaka amepewa LUCAS MWASHAMBWA.
 
Kaona mchwa waharibifu wanabungua kijiji roho ime muuma taratibu hazimruhusu kuchukua hatua kaamua kutafuta spika (wanaharakati) kuvujisha taarifa nyeti sauti ipazwe.. ili wanakijiji wajue hatari iliyopo ndipo tulipo fikia hamna usiri.
Mimi ni Mzalendo haswaa,ila kuwa hao unaowataja ni Wazalendo na wanaumizwa kuona mchwa wanaliharibu Taifa nao ni wanafiki Wakubwa sana.

Ni hao hao wakitumwa na huyo huyo kwenda kuumiza Wazalendo wanaolitetea taifa wanakuwa kimbelembele kwenda kutekeleza amri hizo haramu. Unashangaa wanakuwa na speed kali kwenda kuwaumiza Wapinzani ambao hawana athari mbaya kwa Usalama wa Taifa letu, bali wanatetea maslahi mapana ya taifa au wanatafua nao mkate wa kila siku kwa style hiyo. Hao Wazalendo waache unafiki.
 
Unazungumzia Kenya or Tanzania?
 
Safari nzima ya mheshimiwa ya huko nje ya nchi tangu iko kwenye mipango ya awali kabisa ilivuja.

Jambo la hatari sana, yaani mpaka usafiri watakaotumia, mpaka orodha ya akina nani watakwenda.
Afrika mnapenda kufanya mambo gizani na hamna Intergrity ya Transparency. Sasa kama safari ni ya amani ya nini kufichwa fichwa si uswahili huo?
 
Safari yoyote ya kiongozi mkuu ina elements za SIRI kwasababu za kiusalama.
Element za usiri Zinategemea usalama wa nchi yake na kule anakokwenda na maslahi ya safari

Lakini mwisho lazima wananchi wajulushe kwa mataifa yenye viongozi wanaujua umuhimu wa wananchi wake.
Wengine hutoa taarifa hata wiki moja Hadi mbili
 
Nyingine wanavujishaga makusudi

Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa

Nzito mno!

Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)

Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Hamna akili,nyie mnatamani kila kiongozi afe mbakie nyie tu, ivi wazimq kweli nyie?!
 
Back
Top Bottom