Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Watz hamna akili,mnaombea kiongozi wenu afe? Kisa tu sio wasio wa dini yako,
Nan kataja dini ? Kwan Samia ndo rais wa kwanza kuwa na dini? kikwete na Mwinyi ni dini ipi ? Huyo mama yenu anatuletea udini, anapokosolewa yeye anajificha nyuma ya dini , watu wanamkosoa Rais na sio Mama Abdul au Hadjati au Hustaadhat
 
Weka uzi, jambo kama lime au litatokea hakuna mtu wa kuzuia isipokuwa Mungu...
Kuna kitu sijaelewa

--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi

--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?

-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali

-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA

Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi

Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi

Samia YUKO wapi, hii ndio hoja ijibiwe
IMG-20241110-WA0011(1).jpg
 
Mimi ni Mzalendo haswaa,ila kuwa hao unaowataja ni Wazalendo na wanaumizwa kuona mchwa wanaliharibu Taifa nao ni wanafiki Wakubwa sana.

Ni hao hao wakitumwa na huyo huyo kwenda kuumiza Wazalendo wanaolitetea taifa wanakuwa kimbelembele kwenda kutekeleza amri hizo haramu. Unashangaa wanakuwa na speed kali kwenda kuwaumiza Wapinzani ambao hawana athari mbaya kwa Usalama wa Taifa letu, bali wanatetea maslahi mapana ya taifa au wanatafua nao mkate wa kila siku kwa style hiyo. Hao Wazalendo waache unafiki.
Wakitumwa then wakikataa kitatokea nini?
 
Back
Top Bottom