Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Hii katiba mtu aliyeweka kipengele Cha makamu ambaye hakupigiwa kura arithi urais ndio alituweza....
Aidha uchaguzi urudiwe au mshindi wa pili achukue nchi ikitokea rabsha...
KATIBA MPYA TANZANIA NI LAZIMA
 
Anaweza kuchukua Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Spika au Jaji Mkuu kwa miezi mitatu.

Uchaguzi ni muhimu ufanyike ndani ya miezi mitatu ili kila mgombea aeleze sera zake. Akichaguliwa tutajua anasimamia nini, maono yake, vipaumbele vyake na anatupeleka wapi.
 
Exactly.... Sio mtu anadandia TU.. na waafrika sijui tupoje, mtu kama huna maono na hujui utafanya Nini (our current) kwani lazima ukalie kiti??? ... Unasema TU jamani asanteni ila kwa hii nafasi hapana........
 
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Muda mrefu hatuna uongozi kwenye hili Taifa.
Kwa yanayo tendeka na Maadam amekaa kimya kama hakuna ombwe la uongozi tusemeje?
 
Katika dunia hii ambayo ndege aliyotumia rais inajulikana ni 5H-TCR na unaweza kuifuatilia online kuona iko wapi, serikali inawezaje kuficha nyendo za rais?

Na kwa nini serikali katika nchi ya kidemokrasia isiwe wazi kuhusu nywndo za rais?
👍👏🤝
 
Taarifa kuvuja maana yake ni nini?

Taarifa gani?

Habari za safari za rais, au afya ya rais, zinatakiwa ziwe wazi, wananchi wana haki ya kujua rais yuko wapi, anafanya nini.

Hili ni jambo la kawaida katika nchi za kidemokrasia.

Sasa tunaweza kuona taarifa zinavuja kwa sababu hatujazoea serikali kuwa wazi.

Lakini, suala la muhimu zaidi ni kuwa, kwa nini taarifa hizi hazitolewi kwa uwazi na serikali?

Kama Ikulu haitoi taarifa, na kupata taarifa hizi ni haki ya wananchi, kwa nini Ikulu haitoi taarifa hizi ambazo ni haki ya kikatiba ya wananchi?
👌👍👏🤝🙏
 
Back
Top Bottom