Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #41
Tafuta hela masikini weweSina wasi wasi na mke wangu sababu najua huna cha kumfanya...........nguvu za uzazi huna .........utampataje sasa........alisikika mlevi mmoja akiropoka
Tafuta hela masikini weweVibilioni 30 tu - mbona una mawazo ya kimaskini sana! Chini ya Trilioni usione umefika Mkuu.
Mwambie atafute helaNakabal mkuu tena yule ndege John anakumaindi sana
WanakujaKwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Huu ujinga wote umesababishwa na serikali ya kifisadi iliyopo madarakani, matokeo yake watu smart wanatekwa halafu wajinga kama wewe mnaachwa uraiani.Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Sema nasikia mkuu ulitoa figo kwel auMwambie atafute hela
Tafuta hela masikini weweH
Huu ujinga wote umesababishwa na serikali ya kifisadi iliyopo madarakani, matokeo yake watu smart wanatekwa halafu wajinga kama wewe mnaachwa uraiani.
Tafuta hela masikini wewe kama kutoa Figo raisi na wewe toaSema nasikia mkuu ulitoa figo kwel au
Nasikia unavidole vinne mguu wa kushoto mkuu ni Kweli auTafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweNasikia unavidole vinne mguu wa kushoto mkuu ni Kweli au
Tafuta hela masikini weweKama kweli unahela, fanya mapekeche, tuone apo ni jamiiforum platinum member
Inaonekana hujui hesabu hata chembe.Ni kilaza kabisa.Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Tafuta hela masikini wewe bilioni 30 kwangu pesa za nyanya tuInaonekana hujui hesabu kabisa.Ni kilaza kabisa.
Ulikusudia milioni 30.
Bilioni 30 hujui kwamba hata wabunge na raisi wetu hawazimiliki.Mameneja wa mabenki wanazishika tu na kuzisoma.
Tafuta hela masikini weweHela za punje miaka 10 atakuwa jehanam
Ngofa nimwambie mod aufungie huu uzi wako kwani hauna faida kabisa .Ni udanganyifu wa kitoto.Tafuta hela masikini wewe bilioni 30 kwangu pesa za nyanya tu