Ukiona una miaka 28 halafu benki huna hata vibilioni 30, wewe si mwanaume

Sina wasi wasi na mke wangu sababu najua huna cha kumfanya...........nguvu za uzazi huna .........utampataje sasa........alisikika mlevi mmoja akiropoka
Tafuta hela masikini wewe
 
Vibilioni 30 tu - mbona una mawazo ya kimaskini sana! Chini ya Trilioni usione umefika Mkuu.
 
Nakabal mkuu tena yule ndege John anakumaindi sana
 
Baba yako ulishampa hela au na yeye ni mbwa tu atafute hela???
 
Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Wanakuja
 
H

Huu ujinga wote umesababishwa na serikali ya kifisadi iliyopo madarakani, matokeo yake watu smart wanatekwa halafu wajinga kama wewe mnaachwa uraiani.
 
Kama kweli unahela, fanya mapekeche, tuone apo ni jamiiforum platinum member
 
Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae anahitaji kutunzwa mwanamke ni mama wa pili kutoka mama yako mzazi aisee nyie masikini tafuteni hela la sivyo wake zenu nitawahudumia sana na nyie wenyewe hamna Cha kunifanya sababu ni masikini tafuteni hela nyie masikini
Inaonekana hujui hesabu hata chembe.Ni kilaza kabisa.
Ulikusudia milioni 30.
Bilioni 30 hujui kwamba hata wabunge na raisi wetu hawazimiliki.Mameneja wa mabenki wanazishika tu na kuzisoma.
 
Inaonekana hujui hesabu kabisa.Ni kilaza kabisa.
Ulikusudia milioni 30.
Bilioni 30 hujui kwamba hata wabunge na raisi wetu hawazimiliki.Mameneja wa mabenki wanazishika tu na kuzisoma.
Tafuta hela masikini wewe bilioni 30 kwangu pesa za nyanya tu
 
Back
Top Bottom