Kweli mkuu ukiwa mzee hata ukipoteza $1000,000 unasikitika balaaKitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
Sawa tufanye $11m yote hio? Fanya laki
Hio sio tabia za mtu kuzeeka. Hizo ni tabia za mtu aliepigika.Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda
👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mry anakua agressive balaa
👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa?
👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi
👉Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
👉kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa😓
👉Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama)
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa...
Me nimeelewa haoni tofaut kati ya uchafu na usafi vyote kwake sawa.[emoji848][emoji848]
Na kusema kwamba enzi zangu nilikua nafaulu sanaKutoendana na mabadiliko; anasema vijana wa siku hizi hawasomi chochote, kusoma tulikuwa tunasoma sisi huku akitolea mifano ya mavitu ya kizamani, wakati mambo anayoongelea yamepitwa na wakati. Haelewi kuwa kila jambo lina wakati wake; nyie wazee acheni mambo ya analogia, huu ni wakati wa digitali, ebo! Badilikeni kulingana na mazingira! Watawacheka watu!
tabia za uchizi unaita za uzee, uchaga ujinga dogoUkiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa?
👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi.
👉Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
👉kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa😓
👉Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama).
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa.
Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
[emoji117]Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
[emoji117]Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali[emoji1787][emoji1787] serikali ifanyeje Sasa?
[emoji117]Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi.
[emoji117]Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
[emoji117]kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa[emoji29]
[emoji117]Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama).
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa.
Mbona vijana wengi wa sasa ni magwangala, hawajitambui na ni wachafu wanategemea kuoga kwa kujipulizia marashi lakini ukipishana naye unaisikia harufu ya shuka zake za kulalia.Kutoendana na mabadiliko; anasema vijana wa siku hizi hawasomi chochote, kusoma tulikuwa tunasoma sisi huku akitolea mifano ya mavitu ya kizamani, wakati mambo anayoongelea yamepitwa na wakati. Haelewi kuwa kila jambo lina wakati wake; nyie wazee acheni mambo ya analogia, huu ni wakati wa digitali, ebo! Badilikeni kulingana na mazingira! Watawacheka watu!