chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
hongera kwa kuandika thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena bora mala 100 wazee kuliko wewe si kijana wala mzee anae weza kuandika ugoro kama huuUkiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
[emoji117]Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
[emoji117]Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali[emoji1787][emoji1787] serikali ifanyeje Sasa?
[emoji117]Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi.
[emoji117]Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
[emoji117]kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa[emoji29]
[emoji117]Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama).
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa.