Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
[emoji117]Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
[emoji117]Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali[emoji1787][emoji1787] serikali ifanyeje Sasa?
[emoji117]Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi.
[emoji117]Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
[emoji117]kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa[emoji29]
[emoji117]Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama).
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa.