Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

Mkuu tunapaswa kuota ndoto zipi hasa? Niliwahi kuota nimekufa na nawaona mama na ndugubzangu wanalia sana kwa uchungu mkubwa. Ilipofikia kipengele cha kufukiwa kaburini ndio nikashituka usingizini.

Hii maanake nini?
Kama wewe ni mkristo na umeokoka unapaswa kukemea roho ya mauti, inayokufuatilia! Hiyo ni taarifa
 
Hilo ni tatizo mpendwa, hatupaswi kufanya tendo la ndoa kwenye ndoto!!
Sasa unataka tusiote we mjamaaa. Umetaja mandoto yote yaani

Kwahiyo kuota namkula mke wangu nayo ni shida? Wakati kila saa niko nae na namuwaza. Hujui ndoto ni mafikira ya mchana

Sasa unataka tuote tupo Church kila siku aseee
 
Back
Top Bottom