neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
- Thread starter
-
- #21
Kuota mara moja sio shida, shida ni hizi ndoto kujirudia mara kwa maraNimeota karibu asilimia 90 ya ndoto ulizoorodhesha ila cha kushangaza neema ndio zinazidi kuniongezekea. Kweli mungu halali
View: https://www.youtube.com/watch?v=HkVzzhzbBA4
Kama wewe ni mkristo na umeokoka unapaswa kukemea roho ya mauti, inayokufuatilia! Hiyo ni taarifaMkuu tunapaswa kuota ndoto zipi hasa? Niliwahi kuota nimekufa na nawaona mama na ndugubzangu wanalia sana kwa uchungu mkubwa. Ilipofikia kipengele cha kufukiwa kaburini ndio nikashituka usingizini.
Hii maanake nini?
Nazigumzia ndoto za kujirudiq mara kwa mara sio kuota mara moja, rudiq kusomaYaani niote sembe na dagaa, halafu niache kula🤓🤣
Hiyo ya kupaa na kula nimeiota mara nyingi sana. Acha imani potofuKuota mara moja sio shida, shida ni hizi ndoto kujirudia mara kwa mara
Ningekuwa sina ufahamu nisingekuja kuandika hapa mpendwa,Maana ya ndoto una fahamu mkuu??, au ndo Usha Shiba maparage ya mbeya.
Mimi sio mganga mpendwa!!Nyie waganga kwanini huwa mnakuwaga negative
Zamani home kulikuwa na box la tv ya hitachi.Hiyo ya kupaa na kula nimeiota mara nyingi sana. Acha imani potofu
Waotaji wa ndoto hizo huishia kuwa matajiri wakubwa maishani, focus na uwe unamshukuru sana Mungumimi ni muhanga na hii ndoto
Mimi sijazungumzia hizo, rudia kusomaNdoto zingine unaota tu kwasababu umevimbiwa hazina maana yoyote...
Ni kweli lakini zingatia nilichokisema mpendwaNdoto ni vitu unavyowaza tu vinakuja kurewind ukilala.
Sasa unataka tusiote we mjamaaa. Umetaja mandoto yote yaani
Kwahiyo kuota namkula mke wangu nayo ni shida? Wakati kila saa niko nae na namuwaza. Hujui ndoto ni mafikira ya mchana
Sasa unataka tuote tupo Church kila siku aseee
Positivity ni dawa Bora Sana kwa binadamu.Waotaji wa ndoto hizo huishia kuwa matajiri wakubwa maishani, focus na uwe unamshukuru sana Mungu
Ni mawazo yako kwa kuwa ufahamu wako umefungwa huwezi kuelewa mpendwa!!Ndoto hazina shida yeyote
Mimi kila mara naota sometimes chuo hila nao soma nao ni washule za msingimimi ni muhanga na hii ndoto
Sasa mimi sio hao mpendwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huna tofauti na wale watapeli wanaokuambia wanasoma nyota afu their first guess ni babu yako kafa
Sijampa moyo ilimradi tu bali watu wengi wenye mwelekeo wa maisha huota ndoto hiyo ikimaanisha level mpya inakuja atapanda kama alivyopanda madarasa shuleniPositivity ni dawa Bora Sana kwa binadamu.
Usipo kuwa makini utaona hata mkojo wako Ume Rogwa
Noma sanaZamani home kulikuwa na box la tv ya hitachi.
Illusion zangu nilikuwa naona kama mtu na mganga 😆.