Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

Nope.

Niliota meno yanavunjika… haha ni muda umepita,, yan nikishika jino natoka na kipande chake.
Kuna mtu akanambia et utapata msiba wa mtu wako wa karibu.
99.99% ya watu wangu wa karibu wako hai.
Au tu zilikuwa ni shibe?
Ni njaa😂
 
Fala kweli JF imeanza kuingiliwa na matapeli kama una dawa weka hapa kila mtu aone biashara hadi kwenye ndoto
 
We mpuuzi kwerikweri
 
Mtumishi, una uthibitisho kwa point namba 8?

Kulingana na Warumi 10:9-10, kinachomfanya mtu kwenda Mbinguni ni yeye kumkiri YESU kuwa ni BWANA na si jitihada zake binafsi. Tunaokolewa kwa Neema.
 
Ni mawazo yako kwa kuwa ufahamu wako umefungwa huwezi kuelewa mpendwa!!
Acheni utapeli ufahamu unafungwa kwa kuto amini unacho amini wewe?watu Tunaota mindoto ya ajabu na hatujafanya lolote wala kwenda kokote na maisha yanaendelea kwa amani na upendo na mafanikio acheni kuongopea watu nyie matapeli wa kiroho
 
Usingizi ukikata.. nishasahu nlikuwa naota nini.. raha sana
 
Ndoto hazina shida, kila mtu lazima aote kutokana na pilika za siku.
 
Upo sahihi. Nikilala na njaa huwa naota nakula, natakiwa kuchukua hatua ya kutolala na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…