Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
 
Sawa 😹😹
IMG_3088.jpeg
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.
Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Maisha haya hatufanani Kuna mtu kutoa million 2 kwake ni kama elfu 20 lakini kitu kingine mwanamke akishagundua unamaisha ya kueleweka uchumi mzuri huwa wanapunguza vizinga
 
Maisha haya hatufanani Kuna mtu kutoa million 2 kwake ni kama elfu 20 lakini kitu kingine mwanamke akishagundua unamaisha ya kueleweka uchumi mzuri huwa wanapunguza vizinga
Sawa lakini kama mwanamke hakupedi hata ukimpa million 2 ataona ndogo kesho ataomba umpe million 12 hapo ndio utona unatumia nguvu kumpata. Pia jiulize vip usipompa hizo hela atareact vip maana mwanamke akimpenda mwanaume kweli huwa anaheshimu hata 100 yake anayopewa.
 
Back
Top Bottom