Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Hongera mkuu naona mambo motomoto upande wako.

M nshapgwa kizinga apa nakisikilizia
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
huyo mtu sahihi ni yule ambaye anakupa papuchi na humhudumii, anahudumiwa na mtu mwingine au inakuwaje
 
Back
Top Bottom