Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Ni jukumu la baba kumpa pesa binti yake ambaye hajaolewa

Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu

Ukiwa simp you'll learn the hard way
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Swadakta
 
Kwahiyo gf wako huwa humpatii hata 50 mbovu akiwa anahitaji msaada?
 
Sio kuhonga, ukiona unatumia pesa mingi ili ipate ushawishi ujue tu hukubaliki
 
Kwahiyo gf wako huwa humpatii hata 50 mbovu akiwa anahitaji msaada?
Simpagi hela, hela zangu hazipangiwi matumizi na mwanamke. Ni katika matukio 2 tu ndio pesa yangu naamua tutumie na GF

●Tunaspend hela tukiwa outing pamoja

●Na inapohusu mchakato mzima wa kula tunda

Baada ya hapo sitaki anitafute tena mimi siyo mume wake wa ndoa sio jukumu langu kumhudumia
 
Unavyojitanua humu utadhani kweli vile😂
 
Unavyojitanua humu utadhani kweli vile😂
Screenshot_20240718-073322_Messages.jpg

Sina utaratibu wa kumtumia mwanamke pesa hata alie vipi kuhusu shida zake

Aje tuspend naye mixer mjegeje ikiwezekana hapo sawa baada ya hapo achape mwendo

Mke wa ndoa tu ndiye atakayekula pesa yangu
 
Sure, i never met a woman who looks after my money… Them all showed me that i’m important than papers, Naweza kusema wote wananiigizia kutokujali ninazo au sina ila ukweli ni kwamba kwangu hawanioneshi. So brother kama unasema pisi huzioni ukiwa apeche hiyo ni wewe mzee.
Same path....
 
View attachment 3045190

Sina utaratibu wa kumtumia mwanamke pesa hata alie vipi kuhusu shida zake

Aje tuspend naye mixer mjegeje ikiwezekana hapo sawa baada ya hapo achape mwendo

Mke wa ndoa tu ndiye atakayekula pesa yangu
Hii imekaa vizuri mkuu, aje mspend wote, mambo ya kulea mtoto wa watu ni kupoteza rasilimali zako bure. It's a give and take...
 
Back
Top Bottom