Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Yule jamaa wa tra aliyekamatwa na b7 ndani kwake m2 sio pesa
Kasome komenti yako niliyo reply na hiki ulicho kiandika?

Sasa huyo jamaa wa TRA kafuata nini?

Yaani uwe na hela halafu demu apunguze mizinga, labda kama unawazungumzia wanawake wa Jupiter. Mademu siku hizi wana ujasiri wa kujitongozesha kwa wanaume wenye hela,aibu hawana kabisa.
 
MONEY IS A TOOL USED BY LOW SELF ESTEEM GUYS TO WIN WOMEN'S LOVE.
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
ishu ya kuhonga by nature wanaume tumeumbiwa na kiuhalisia mwanamke hapashwi kunipenda zaid tyu aniheshimu hyo inatosha,ko wew ukiona mwanamke hakuombi hela shituka pia make sio asili yao kutokuomba hela hata kama anazo zakutosha
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Usizunguke sana mkuu..sema hivi Una muonekano mbaya
 
Back
Top Bottom