Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

50/50 kwenye mahusiano ya kimapenzi hakuna. Lazima mmoja ajishushe na ajitoe kwelikweli. Na wanaopenda mara nyingi wanaishia kuumia.
 
Dah mbona kwa ukali kaka
😅😅😅Hamna mkuu n vile tu siku hz tunauziwa bila kujua,ss c Bora kuliko kusumbuka na mtu km umemwelewe c akutangazie dau ulipie huduma upate utakacho km unamudu bei..
 
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.

Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.

Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Ukweli ndio Wanawake wakora hawafai kabisa
 
Back
Top Bottom