Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 673
- 1,915
- Thread starter
- #21
Kweli ulichoongea ila kumbuka mwanamke akikupenda kweli hata hela yako anakuwa na nidhamu nayo,hawezi kutumia hovyo au kukuomba hovyo.Lazima kuwe na mchujo mkuu
Kama hapendi viboba, basi atapenda wavuta bangi au labda mapastor au wantonly lips
Akiachia free huko chini pata waka moto
Ushahidi upo na ni kutoka kwa wanawake wenyewe.