Kweli kabisaSina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.
Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Kweli kabisaUna hoja
Kweli kabisaEty nini 🤯🤯
Unatak uniambie Aisha hanipendi 🥴🥴
Hela zangu zote nilizomuhonga nimeandik kweny diary...naend kuchukua😫😫😫Hupendwi Braza ukweli usemwe
Uko wapi.....Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.
Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Pokea basi simu.....Daresalama
Kuna madem wana majibu ya kiwaki.😃Sawa 😹😹
Maisha haya hatufanani Kuna mtu kutoa million 2 kwake ni kama elfu 20 lakini kitu kingine mwanamke akishagundua unamaisha ya kueleweka uchumi mzuri huwa wanapunguza vizingaSina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi.
Naishia hapa naomba kuwasilisha.
Sawa lakini kama mwanamke hakupedi hata ukimpa million 2 ataona ndogo kesho ataomba umpe million 12 hapo ndio utona unatumia nguvu kumpata. Pia jiulize vip usipompa hizo hela atareact vip maana mwanamke akimpenda mwanaume kweli huwa anaheshimu hata 100 yake anayopewa.Maisha haya hatufanani Kuna mtu kutoa million 2 kwake ni kama elfu 20 lakini kitu kingine mwanamke akishagundua unamaisha ya kueleweka uchumi mzuri huwa wanapunguza vizinga