Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kumbe mzaha mwingi tu. Oh tunapima nchi nzima sijui nini, halafu mambo yenyewe ni fujo tupu, duh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes social distance kama ile ya Chato kanisani.Hahaha hizo mbinu wanazotumia kupambana na Corona ndio huwafanya waonekane mapoyoyo, tunaimbiwa kila siku tumaintain social distancing lakini wanalundikwa kama mishkaki na bakora juu
LOL ni angalau sisi tumeamua mojaYes social distance kama ile ya Chato kanisani.
Wa Afrika tuna shidaLOL ni angalau sisi tumeamua moja
Kuliko hao wanaojifanya viranja wa mapambano wakati in reality wanachokifanya ni upumbavu mtupu bora hata wangeamua business as usual.
Hii mihemko na chuki dhidi ya wakenya inasaidia nini?LOL ni angalau sisi tumeamua moja
Kuliko hao wanaojifanya viranja wa mapambano wakati in reality wanachokifanya ni upumbavu mtupu bora hata wangeamua business as usual.
chuki unamchukia mtu aliyestable than youHii mihemko na chuki dhidi ya wakenya inasaidia nini?
mna matatatizo makubwa wala sio uongo
Ila walau wanajitahidi, kwa siku tumeambiwa wanapima mamia ya watu... Ningefurahi kama hata sisi tungeiga hili
Japo sijaelewa hoja yako ila hata mimi sijasema wapime wote maana ni kitu ambacho hakiwezekani. Sawa tuseme kweli tunaugua na kupona lakini si wapo pia wanaokufa? Kitendo cha kuugua hadi kupona huyu mtu tayari anakuwa ameambukiza wangapi? Na kati ya hao aliowaambukiza wote watakuwa na kinga thabiti?hivi huko ulaya na marekani wote wanapimwa?.
si unaona wanadondoka wenyewe.
HIVI KWELI HAPA TANZANIA MTU AUMWE CORONA ALAFU AKAE TU HOME?.
au wanaumwa lakini WANAPONA WENYEWE?.
basi sisi tuna damu nzuri.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Wakishapima nini kinatokea?, wamarekani wamepima mpaka Trump kaamua kuacha kupima kwasababu haisaidii kitu. Muhimu ni kuepuka misongamano, hayo ya kupima ni ujinga tu.Ila walau wanajitahidi, kwa siku tumeambiwa wanapima mamia ya watu... Ningefurahi kama hata sisi tungeiga hili
Japo sijaelewa hoja yako ila hata mimi sijasema wapime wote maana ni kitu ambacho hakiwezekani. Sawa tuseme kweli tunaugua na kupona lakini si wapo pia wanaokufa? Kitendo cha kuugua hadi kupona huyu mtu tayari anakuwa ameambukiza wangapi? Na kati ya hao aliowaambukiza wote watakuwa na kinga thabiti?
Wakishapima si wagonjwa wanakuwa isolated wasiendelee kuambukiza? Huko kwa Trump wako wengi mno ndio maana wanazidiwa ila sisi Kwa kiwango cha maambukizi kilichopo natumaini tungeweza kudhibitiWakishapima nini kinatokea?, wamarekani wamepima mpaka Trump kaamua kuacha kupima kwasababu haisaidii kitu. Muhimu ni kuepuka misongamano, hayo ya kupima ni ujinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishapima nini kinatokea?, wamarekani wamepima mpaka Trump kaamua kuacha kupima kwasababu haisaidii kitu. Muhimu ni kuepuka misongamano, hayo ya kupima ni ujinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua sisi Watanzania tuko very slow, mwezi mzima baada ya ulimwengu mzima kufunga anga zake hakuna ndege kuingia wala kutoka ndio sisi nasi tunashtuka ikiwa too late wakati tayari kumekucha.Ila walau wanajitahidi, kwa siku tumeambiwa wanapima mamia ya watu... Ningefurahi kama hata sisi tungeiga hili
unajua sisi Watanzania tuko very slow, mwezi mzima baada ya ulimwengu mzima kufunga anga zake hakuna ndege kuingia wala kutoka ndio sisi nasi tunashtuka ikiwa too late wakati tayari kumekucha.
dunia nzima sasa inajitahidi kuizibiti Corona ilhali sie bado tumelalia masikio huku kirusi kikizidi kukolea mitaani. hakuna kupima wala tahadhari zozote muafaka zinazochukuliwa.
kwa hili la Corona, serikali yetu imefeli na haina nia njema na watu wake.
Sasa kupima kama wafanyavyo Kenya kunasaidiajeJapo sijaelewa hoja yako ila hata mimi sijasema wapime wote maana ni kitu ambacho hakiwezekani. Sawa tuseme kweli tunaugua na kupona lakini si wapo pia wanaokufa? Kitendo cha kuugua hadi kupona huyu mtu tayari anakuwa ameambukiza wangapi? Na kati ya hao aliowaambukiza wote watakuwa na kinga thabiti?
Wanadai eti damu yetu nzuri hatuugui, mwanzo walisema waafrika hatupati...haya tumepata na tunakufa vile vile.unajua sisi Watanzania tuko very slow, mwezi mzima baada ya ulimwengu mzima kufunga anga zake hakuna ndege kuingia wala kutoka ndio sisi nasi tunashtuka ikiwa too late wakati tayari kumekucha.
dunia nzima sasa inajitahidi kuizibiti Corona ilhali sie bado tumelalia masikio huku kirusi kikizidi kukolea mitaani. hakuna kupima wala tahadhari zozote muafaka zinazochukuliwa.
kwa hili la Corona, serikali yetu imefeli na haina nia njema na watu wake.
Vyovyote iwavyo, walau serikali imelichukulia kwa uzito sio sawa na sisi. Na, tukitaka kupima tunaweza kutumia mfumo ulio bora zaidiSasa kupima kama wafanyavyo Kenya kunasaidiaje
1)Wanapima watu waliokwenda Hospitali kutafuta matibabu
2)Wanapima watu wote waliopo karantini
3)Wanapima "contacts" wa watu wote waliopatikana na virusi.
Makundi yote Haya, tayari yapo mikononi mwa serikali na wameshatengwa hawakutani tena na jamii, ukiacha mamba moja hapo juu, hao wengine wanapimwa kwasababu gani?, kwanini wasisubiri siku 14 na kupima wale watakaokuwa na dalili?
Sent using Jamii Forums mobile app