mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
HUO NDO USWAHILI WENYEWE NINAOUSEMEA..
Kujiona upo juu ya mwenzio pia ni uswahili.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kujiona upo juu ya mwenzio pia ni uswahili.
zii, sidhani kama upo sahihi. usituweke kwenye kapu/ kundi moja. hatuwezi kuwa sawa. lazma kuna mmoja yupo juu na alieko chini amejawa na wivu, chuki na majungu. tizama ramani ya Afrika utapata ni yupi aliye juu na atabaki kuwa juu miaka alfu lela ulela upende usipende utake usitake ulie au ucheke aliyeko chini ni shit hole kabisa
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"