joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nani amekuambia dunia inataka kujua idadi ya wagonjwa?, dunia lengo lake kwa sasa ni kuzuia maambukizi yasiongezeke zaidi, kupima na kujua idadi ya wagonjwa nchini haisaidii kupunguza wagonjwa wasiongezeke, njia pekee ya kuzuia maambukizi ni kuzuia watu wasikutane, haijalishi umewapima au hukuwapima.Dah...kiongozi utajuaje idadi sahihi ya wagonjwa kama hupimi?...kiukweli hapa tunabeti....ngoja tusubiri kama tutalala au hatutalala [emoji41]
Sent using Beretta ARX160
Sent using Jamii Forums mobile app