joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sawa kabisa, huu ugonjwa ni kama Ebola na Kipindupindu, kama kweli upo, ndani ya wiki mbili utashuhudia wagonjwa wamejazana mahospitalini, na watu wengi wanakufa ndani ya muda mfupi sana, kama kilichowakuta TBC, hawa wafanyakazi waliokufa, wiki jana walikua ofisini kama kawaida, lakini wiki hii wamekufa, huu ugonjwa haujifichi kabisa, Tanzania bado maambukizi ni kidogo sana.hoja yangu ni kwamba.
Kama Tanzania kungekuwepo wagonjwa wengi wa corona.
WANGEONEKANA hata bila ya kupimwa..
wenzetu huko kila siku wanaambukizwa,kila siku wanakufa,kila siku kuna wagonjwa wapo MAHUTUTI wanakaribia kufa sababu ya corona.
lakini hapa kwetu hamnaaa.
na kama wapo basi WANAPONA WENYEWE.
Ndo mwisho nikasema "SISI TUNA DAMU NZURI".
maana tunaugua corona alafu tunapona wenyewe.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Sent using Jamii Forums mobile app