Ukiona wanavyotamba hapa utafikiri vipimo vimepamba moto

Sawa kabisa, huu ugonjwa ni kama Ebola na Kipindupindu, kama kweli upo, ndani ya wiki mbili utashuhudia wagonjwa wamejazana mahospitalini, na watu wengi wanakufa ndani ya muda mfupi sana, kama kilichowakuta TBC, hawa wafanyakazi waliokufa, wiki jana walikua ofisini kama kawaida, lakini wiki hii wamekufa, huu ugonjwa haujifichi kabisa, Tanzania bado maambukizi ni kidogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyovyote iwavyo, walau serikali imelichukulia kwa uzito sio sawa na sisi. Na, tukitaka kupima tunaweza kutumia mfumo ulio bora zaidi
Uzito upi, kupima bila kuchukua hatua zozote za maana?, bora ungesema Rwanda na Uganda kidogo ningekuelewa, katika serikali ambayo inafanya mambo ya hovyo na yasiyoeleweka katika kupambana na Corona ni Kenya, ndio sababu maambukizi yanaongezeka kuliko nchi yoyote katika ukanda huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Koma kujiita Mtanzania mjinga wewe.
 
Ninyi tatizo hamjui nini mnafanya katika haya mapambano, kila hatua ya maambukizi Ina "intervention" yake. Kenya mlipofikia kutokana na idadi kubwa ya wenye maambukizi, mlipaswa muwe ndani ya "total lockdown", lakini hadi sasa bado mnazinguka,badhindwa na Rwanda na Uganda walitangaza " total lockdown " wakiwa na wagonjwa 50 tu, ninyi hadi sasa mnakaribia 200 lakini bado hamtangazi lockdown kwa kuogopa uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bwana
 
Wakishapima si wagonjwa wanakuwa isolated wasiendelee kuambukiza? Huko kwa Trump wako wengi mno ndio maana wanazidiwa ila sisi Kwa kiwango cha maambukizi kilichopo natumaini tungeweza kudhibiti
Jaribu kuelewa kwanza kabla ya kujibu, hao wote wanaopimwa Kenya, tayari wapo "Isolated", ukiacha wagonjwa wanaopimwa wakiwa Hospitalini, ambao hata Tanzania pia tunawapima, hao wengine wote wanaopimwa huko Kenya, ni wale ambao tayari wapo chini ya karantini, hawaambukizi tena, sasa wanapimwa ili iweje wakati tayari wapo katika karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hayo na ninyi mnafanya? Basi nilijua wanapima watu wote
 

Siku 14 hadi dalili zionekane kashaambukiza wangapi
 

Na sii kwamba wanafanya testing ya zaidi ya wa2 500 kwa siku ndoo maana new cases zinatokea kwa saana
 
Unajiona mjaaanja mwenyewe!

Maoni yakishaambatana na chuki yanakua ni ugoro mtupu.
 
Dah...kiongozi utajuaje idadi sahihi ya wagonjwa kama hupimi?...kiukweli hapa tunabeti....ngoja tusubiri kama tutalala au hatutalala [emoji41]

Sent using Beretta ARX160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…