fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
πππ unakataa cheo mkuu mm ndo ndo mchimba chumvi sasa afu ww ndo ukitakiwa uitwe mkulungwa01 ππNajua hiloo. Ndo Mana nakutingishaππ€£, Afu mkuu ni wewe - mi mchimba chumvi tu ππ€£
Umeongea ukweli kabisa, watu sijui kwa nini wana wivu na chuki kwa watu wengine. Sijui kwa niniThe world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.
HII PEKEE IMETOSHA
Hiyo ni kanuni tembea nayo, vinginevyo utakua na kazi ya kumuelewesha kila mtu hata asiye na akili. Wewe sema unachotaka kusema, atakayeelewa tofauti hilo ni lake yeye" I'm responsible for what I say bt not responsible for your understanding"
[emoji23][emoji23]
dharaulika hizo. Mi ndo mchimba chumvi.πππ unakataa cheo mkuu mm ndo ndo mchimba chumvi sasa afu ww ndo ukitakiwa uitwe mkulungwa01 ππ
πππ nipo apa the fundi billionaire (FB) ftom madagascar natka nikupe kaz mkuu tafuta vijana 100, kutoka huko tz ili niwape mitaji mkuuπdharaulika hizo. Mi ndo mchimba chumvi.
πWe ni Don kutoka Madagascar ππ
ye34nbe huyo mpuuzie... ndo mambo yakeHuna adabu
Nakuanzishiaa Uzi Kesho Ms eyes ππππ well said!
Kaka waambie wakupe dozi yako, maana uta kuja kuuza gesti ya watu fundi bishoo ππ€£ππππ nipo apa the fundi billionaire (FB) ftom madagascar natka nikupe kaz mkuu tafuta vijana 100, kutoka huko tz ili niwape mitaji mkuuπ
NAKAZIAThe world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.
Naamini low profile katika ndoa, mapenzi , mahusiano ni nzuri, ili yoyote yatakayotokea m-baki kuyatatua wahusika na sio jamii. Jamii huwa inaappreciate ugomvi, utengano, mabaya. Ndo maana topic za mambo ya michepuko, kimasihara, usaliti, zina comments nyingi kuliko topic za kujenga katika nyanja ya ndoa ama mahusiano.
Kila kukicha ni malalamiko, mwanamke huyu, mwanaume huyu kanifanyia this or that. Maybe unionyeshe topic yenye wachangiaji wengi ambayo imelenga kurestore broken homes ama kuwaasa vijana na wazee ili kudumu katika familia, nitakuonyesha twiga ANAYEPAA.