Ukiona watu wanapendana waombee heri na sio kuwagombanisha

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Oyaa to everyone here, i have somehow got this time to speak with every single one of you. Some, will probably be sleeping. Some will be not able to read this for whatever reason but for the ones of you who can. Please, you have got this

People who are stupid in jf are stupid in real life too. People used to be stupid even when there was no jf. The introduction of jf and other social media has given these people the perfect platform to showcase their stupidness

I’m sorry, but something is terribly wrong with people here in jf where they think they just have the right to come in and take what isn’t theirs. Ikitokea watu wamependana wakawa wapenzi wish them well, ndio maisha hayo.

In my experience and based on what I've seen, the bottom line is jealousy. people here cannot bear to see anyone else happy, feeding lies and negativity into someone's mind sio jambo zuri. Guys tuombeane heri, life is too short

I'm certainly not a perfect human though, Lakini siwezi kwa makusudi kufanya wengine wapendanao wawe in bad terms. Maneno kila kona

I absolutely loves this girl, she loves me too. She's kind, generous, loving and very attractive. We are completely honest with each other and tell each other everything.

So guys you should live for yourself and maintain a fierce independence. This is the key to living a happy life. Achana sana kuingia deep na ya wengine

NB: I'm responsible for what i say not what you understand
 
Ameandika kingereza ili kupunguza maneno,hamna mtu anachukia mahusiano ya mtu ila shida huwa inakuja pale mtu anajifanya limbukeni wa mapenzi kana kwamba yeye ndo wa kwanza kupenda na kupendwa,ishi maisha yako hakuna mwenye habari na wewe maisha yako ukiyaleta public tayari itakuwa ni mali ya public ko jiandae kupokea lolote.kabla ya kulaumu watu jisahihishe ulipokosea.
In case kama mlikuwa hamjui huyu ndio DC kisarawe ,tangu abwagwe na kukataliwa na DNA amekuwa na sumu sana
Anakosa wa kumlaumu anadhani labda ni wana jf make walikuwa wanampondea ko anadhani wamechangia
Kuna jamaa anaitwa@Smart911 anaweza kuwa reference

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Unajitahidi sana kutumia akili wakati hauna.
 
The world wishes well for no damn body. Ukiwa na chako kizuri, stay low, enjoy peke yenu. Labda occassionally ndo uyaweke public. Lakini kila mara kujitahidi kuonyesha mapenzi yako/yenu katika kadamnasi, I believe katika mtu 10:mtu 1 ndo atawafurahia, wengne tisa tutamani kila aina ya baya liwatokee. It is what it is.

Naamini low profile katika ndoa, mapenzi , mahusiano ni nzuri, ili yoyote yatakayotokea m-baki kuyatatua wahusika na sio jamii. Jamii huwa inaappreciate ugomvi, utengano, mabaya. Ndo maana topic za mambo ya michepuko, kimasihara, usaliti, zina comments nyingi kuliko topic za kujenga katika nyanja ya ndoa ama mahusiano.

Kila kukicha ni malalamiko, mwanamke huyu, mwanaume huyu kanifanyia this or that. Maybe unionyeshe topic yenye wachangiaji wengi ambayo imelenga kurestore broken homes ama kuwaasa vijana na wazee ili kudumu katika familia, nitakuonyesha twiga ANAYEPAA.
 
One among the expensive advice, given for free🙏💪
 
Thanks for reading the above, I'm too private and happier with my life.
 
Back
Top Bottom