Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
- Thread starter
- #41
Mkuu mfano wanaojitengenezea chakula kwa kuku 500,unaweza pata faida kiasi gani,coz my experience ninayo kwenye vyakula vya CP or FALCON .Still napata enough profit
Kama unapata faida katika chakula cha CP AU Falcon huna haja ya kutengeneza mwenyewe chakula but maeneo mengine chakula cha kuku huwa kinauzwa kwa bei mbaya sana kitu ambacho inashusha faida yako.





